Saturday, September 3, 2011

LULU ATAMANI PENZI LA BIEBER



Mcheza filamu machachari asiyeishiwa vituko Bongo, Elizabeth Michael ’Lulu’ ameonekana kulilia penzi na msanii ‘dogo’ wa Marekani Justin Bieber huku akidai kuwa atafanya lolote ampate.

No comments:

Post a Comment