Thursday, October 20, 2011

OOH! JINI KABULA!!!


MSANII mwenye kipaji kikubwa cha kuigiza, Miriam Jolwa ‘Kabula’, maisha yake yamepinduka, sasa anatia huruma baada ya mambo kumuendea kombo.
 Hivi sasa, Kabula amekuwa mlevi wa kupindukia,Kabula alipoulizwa sababu ya ‘kulipuka mipombe’ asubuhi alijibu: “Nina stress (msongo), maisha yananichanganya.”
Aliendelea kusema: “Sina furaha wala amani ndiyo maana nimeamua kunywa ili nipoteze mawazo na kweli inanisaidia.”
“Nilikuwa nakaa kwa Chuz kwa sasa nimehama, naishi kivyangu na maisha yangu mwenyewe,” alisema Kabula.

Msanii huyo aliyeibuka kwenye igizo la Jumba la Dhahabu, akiigiza kama jini anayegeuka nyoka, alikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na Chuz na kufanikiwa kupata mtoto mmoja.


chanzo global pub..

No comments:

Post a Comment