Agnes a.k.a Masogange
Agnes aliyasema hayo hivi karibuni,baada ya kupiga picha ambazo zilikuwa zikionesha kiuno chake kikiwa kimezungukwa na ‘cheni’ ya gharama kubwa.
Alisema kuwa, kiuno ni sehemu muhimu sana katika mwili wake hivyo haoni hatari kutumia kiasi kikubwa cha fedha kukifanya kionekane bomba.

No comments:
Post a Comment