Mtangazaji wa kituo cha Clouds FM kupitia XXL, Hamis Mandi ‘B12’ akiwa na mpenzi wake.Picha juu ni ni msanii wa filamu, Skyner Ally akiwa katika pozi nyumbani kwake Magomeni Dar.
Akina dada hawa wakiserebuka na muziki mtamu katika shoo ya BBM.Picha juu ni Wacheza shoo wakikamua jukwaani kwenye sherehe ya BBM ndani ya klabu ya Mbalamwezi.
Msanii wa bongo fleva, Jaffari Ally Mshamu ‘Jaffarai’ akiwa na rafiki yake .Picha juu ni Disco Joker ‘Dj’ akikamua vitu.Katikati ni Lina akikamua na chini ni Hemed Suleiman ‘PhD’ na Zamda Salum ‘Zamda’ wakifurahia shoo ya BBM.
Waigizaji wa filamu za kibongo,
No comments:
Post a Comment