Imebainika kuwa, baadhi ya mastaa Bongo wameingia katika zoezi la kushindana kukuza makalio huku kila mmoja akitumia njia anayoijua.
Uchunguzi wa Ijumaa umegundua kuwa, mastaa wanaofanya hivyo wengi ni wasanii wa filamu ambao wanaamini wakiwa na maumbile makubwa soko lao katika tasnia hiyo nalo linakuwa juu.
Wakizungumza na mwandishi wetu kwa nyakati tofauti baadhi ya wasanii walioomba majina yao kutoandikwa gazetini walidai kuwa, ni ukweli usiofichika kuna wenzao wanadiriki kutumia dawa za kichina ili kukuza makalio.
“Yaani iko wazi kwamba, wenye makalio makubwa kwanza wanapendwa na wanaume wengi lakini pia kwenye filamu wale wanaojua kuuvaa uhusika vizuri dau lao huwa kubwa. Muangalie Skaina, umbile lake linalipa na ndiyo maana anakula shavu kwenye video za muziki na filamu kibao.
“Mwangalie Efrancia, katoka maisha Plus alipoingia kwenye filamu tu, amekula shavu la kutosha kwa sababu ya umbile lake.
“Sasa wengine wanataka kuwa hivyo, wenzao makalio yao ni orijino ila kuna ambao wanatumia dawa kuyakuza na wengine wanakula sana ili wanenepeane,” alidai mmoja wa wasanii hao mwenye jina kubwa Bongo.
Aidha, juzikati gazeti hili lilinasa picha inayowaonesha wasanii Jennifer Mwaipaja ‘Shumileta’ Zamda Salim na Skaina Ally (Pichani juu)wakionesha makalio yao huku baadhi ya wadau wakihoji kama ni ya kichina au ya orijino.
Walipotafutwa na kuulizwa kama walikuwa wakishindana kuonesha mwenye makalio makubwa na kama yao ni ya kichina, mastaa hao walisema kuwa yao ni ya asili na hawakuwa wakishindana bali lilikuwa ni pozi tu.

No comments:
Post a Comment