MSANII anayekimbiza kunako tasnia ya filamu Bongo Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwatwa’ ameibuka na kusema hayupo tayari kujiingiza katika vitendo vya usagaji kwani anajua madhara yake ni makubwa kuliko baadhi ya watu wanavyofikiria, Gladness Mallya na Rhobi Chacha, wanakupasha.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Aunt alisema tabia ya usagaji ni mbaya na hajawahi kujihusisha nayo na hatathubutu kushiriki mchezo huo mchafu.
“Hata nikipewa fedha kiasi gani siwezi kujihusisha na usagaji kwa sababu kazi ninafanya na fedha ninayopata inanitosha, sihitaji kujidhalilisha na siyo tabia nzuri wala siyo utamaduni wetu huo,” alisema Aunt.
Aunt aliwashauri wanaojihusisha na vitendo hivyo kucha mara moja kwani wakiendela watakuja kujuta na kusaga meno.

No comments:
Post a Comment