Baada ya mchakato wa upigaji kura uliochukua wiki moja kukamilika, Jumatatu ya Agosti 23, mwaka huu, Zamaradi alimtangaza Uwoya kumfunika vibaya Wema na matokeo hayo yakawekwa hewani kupitia ‘segimenti’ ya Muvi Leo kwenye Kipindi cha Leo Tena kinachorushwa na Clouds FM.
Uwoya ambaye ni kinara wa Muvi za Oprah na Mid Night alipopigiwa simu na Zamaradi ili kusikia ‘komenti’ zake, ndipo akamfungukia Wema:
“Nilitegemea kushinda kwani Wema ni mdogo sana kisanaa, hata kama ingetokea akashinda, basi ingekuwa ndoto ya alinacha.
“Ukweli ni kwamba kwa hapa Bongo sijaona staa wa kike mwenye uwezo wa kushindanishwa na mimi.
“Ninaweza kuvaa uhusika wa aina zote tofauti na Wema ambaye ana sauti ya kitoto sana na ‘inam-limit’
kucheza baadhi ya sehemu. Anachoweza Wema ni kucheza sehemu za majonzi na mapenzi tu, lakini siyo zile za kufoka kama mimi ambaye ukinipa ‘scene’ yoyote nakamua bila tatizo. Hata sauti yake ni ya kitotototo.”

No comments:
Post a Comment