Wednesday, September 7, 2011

NDOA YA JOYCE KIRIA YAFANA ATRIUMS HOTEL


NDOA ya mtangazaji maarufu wa kituo cha Televisheni cha East Afrika, ambaye anakibeba kipindi chake cha ‘Wanawake Live’, Joyce Kiria, jana aliukacha ukapera baada ya kufunga ndoa na Henry Kileo. Harusi hiyo ya kukata na shoka ilifanyika katika Hoteli ya Atriums iliyoko Sinza jijini Dar es Salaam.



Katika harusi hiyo kulikuwa na vitu kibao vya kuvutia kutokana na mpangilio mzima wa shughuli hiyo iliyoandaliwa kwa umakini wa hali ya juu.



Picha zote kwa hisani ya global pub. 

No comments:

Post a Comment