Thursday, October 20, 2011

MASHAUZI CLASSIC WANGURUMA MANGO GARDEN

Isha Mashauzi (kulia) akifanya makamuzi.

 .Mashabiki wakijimwaya kwa maraha ya kujishaua.
 Kinadada wakijirusha roho kwa kupagawishwa.
KUNDI la muziki wa mwambao lililojizolea mashabiki lukuki hivi karibuni la Mashauzi Classic, usiku wa kuamkia leo lilifanya makamuzi ndani ya ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni, jijini Dar es Salaam ambapo mashabiki walijimwaya kwa raha zao.



 Malkia wa Mipasho’, Khadija Kopa, alipata nafasi ya kukamua kwenye onesho hilo.

 Jamaa aliamua kwenda kumtunza Khadija Kopa baada ya kuchenguka kwa kibao alichoimba.
PICHA NA: globalpub.

No comments:

Post a Comment