Wednesday, October 26, 2011

WAKAZI WA MBEZI WATAKIWA KUWA MAKINI NA HALI HII..

 Bonde la mbezi ambalo pia ni mpaka wa kawe na mbezi likiwa katika hali chafu.
Wananchi wasiojali mazingira wakiendelea kuchimba mchanga
Maporomoko yanayotokana na uchimbaji wa mchanga
 Sehemu ya mrundikano wa taka katika eneo holo la bonde

No comments:

Post a Comment