Meneja Masoko wa CFAO Motors Alfred Minja kulia na Mkuu wa Udhamini na Masoko Vodacoma Tanzania George Rwehumbiza wakifunua gari aina ya JEEP ambalo limetolewa kama zawadi ya Vodacom Miss Tanzania 2011 lenye thamani ya shilingi milioni 72 za kitanzania
Warembo watakaoshindania taji la Vodacom Miss Tanzania wakiwa wamelizunguka gari ambalo lilmetolewa kama zwadi ya mshindi atakayeibuka siku hiyo.
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakifurahia zawadi yao gari aina ya Jeep iliyotolewa na wadhamini wa shindano hilo CFAO Motors na Vodacom Tanzania.

No comments:
Post a Comment