Shilole alisema kuwa tabia ya Bonita kutoa siri za mastaa wanaotengeneza nywele katika saluni yake inahitaji kukomeshwa na kwa kuanza aliamua kuonesha njia kwa mastaa wengine jinsi ya kumfunga mdomo mwanamke huyo.
Katika ugomvi huo ambao ulivuta umati wa watu, Shilole alimdunda Bonita hali iliyosababisha staa mwingine wa filamu, Latifa Idabu‘Badra’ kuingilia kati na waamua.
No comments:
Post a Comment