Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Mhe. Amos Makalla kama rambirambi kutoka serikalini.
MAMA wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa (pichani) juzikati alijikuta akiangua kilio upya wakati alipokuwa akipokea shilingi milioni 10 kutoka kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Mhe. Amos Makalla kama rambirambi kutoka serikalini.
Akikabidhi fedha hizo, Mhe. Makalla alisema serikali imefikia hatua hiyo kutokana na mchango mkubwa wa marehemu Kanumba kwa jamii na serikali kwa ujumla enzi za uhai wake.
Chanzo na global.
No comments:
Post a Comment