NI PIGO LINGINE! Bi Kidude amefariki dunia mapema leo saa 4 asubuhi nyumbani kwake Raha leo. mara kadhaa Bi kidude, ambaye amejipatia sifa na
umaarufu ndani na nje ya nchi, amekuwa akizushiwa kifo kutokana na
kuuguawa muda mrefu...
...MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI--AMIN!
No comments:
Post a Comment