Kijana Claud Bakari yupo korokoroni kwa tuhuma za kumbaka na kumharibu mtoto wa darasa la kwanza, Shule ya Msingi Magomeni, Dar es Salaam.
Tuhuma hizo, zimethibitihwa na Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi, Kinondoni, ACP Charles Kenyela ambaye aliliambia Uwazi kwamba uchunguzi unaendelea.
Mama mzazi wa mtoto huyo, Tabia Ally alidai kuwa walibaini mtoto anafanyiwa mchezo mchafu kwa muda mrefu, kwa hiyo walianza kumfuatilia.
“Nilimshtukia mwanangu anashindwa kutembea vizuri. Nikaona kuna kitu cha kufanya. Tukaanza upelelezi. Tukagundua kuna mtu huwa anamfanyia mchezo mbaya.
“Tukamuuliza na yeye mwenyewe alikubali kwamba kuna mtu huwa anamnunulia ice cream na chipsi halafu anamfanyia mchezo mbaya. Niliumia sana kusikia hivyo.
“Agosti 26, 2011 tuliweka mtego. Kweli, saa nne asubuhi, huyo bwana alienda kujibanza pembezoni mwa shule. Akamwita mwanangu, tukashuhudia anampeleka kwenye jumba bovu.
“Tukaenda mpaka kwenye jumba hilo na kukuta anaanza kumvua nguo, ndipo tulipomzunguka na kumkamata. Wananchi wenye hasira walimpiga lakini tulifanikiwa kumfikisha Kituo cha Polisi Magomeni, Usalama,” alisema Tabia.
Naye mtoto huyo alipozungumza nalisema kuwa kila siku Claud alikuwa anafika shuleni hapo, anamnunulia chipsi na ice cream halafu wanakwenda chooni au kwenye jumba bovu kufanya mapenzi.
mtuhumiwa huyo alifikishwa Kituo cha Polisi Magomeni na kufunguliwa jalada lenye nambari ya kitabu cha kumbukumbu za matukio ya kipolisi, MG/RB/14644/2011.
CHANZO GLOBALPUBLISHER.

No comments:
Post a Comment