Miss Tanzania mwaka 2007, Richa Adhia, akichukua chakula kwenye tamasha hilo.
Wanyange wa Ilala, Kinondoni na Temeke wakishindana kukata nyonga wakati wa muziki. HILI ni tamasha lililowakutanisha baadhi ya waandishi wa habari na washiriki wa mashindano ya urembo wa wilaya za Ilala, Kinondoni na Temeke. Tamasha hilo lilifanyika katika ufukwe wa Mbalamwezi, jijini Dar es Salaam.
Zifuatazo ni picha zaidi
Mamiss wakifuatilia shindano hilo.
Mambo yamekolea.
Warembo wa Ilala na Temeke wakioshindana kuvuta kamaba.
Picha kwa hisani ya global pub
No comments:
Post a Comment